Mhitimu wa NIT Alivyobadili Changamoto ya Taka Kuwa Fursa Wilayani Mafia (opens on the publisher’s site)
Abdul ni mwanzilishi na mwenyekiti wa kikundi cha Taka Dampo, ambacho kilianza kutokana na wazo alilolibeba tangu akiwa mwanafunzi wa chuo. The post Mhitimu wa NIT Alivyobadili Changamoto ya Taka Kuwa Fursa Wilayani Mafia appeared first on The Chanzo.